×

FIKRA TUNDUIZI

Wengi wanaijua jamii lakini hawajui kuisemea jamii... Wengi wanaeleza na kutoa taarifa za kijamii lakini wanashindwa kuonyesha ukubwa wa tatizo hilo katika jamii.... Karibu sana FIKRA TUNDUIZI upate majadiliano, midahalo, mada, taarifa na habari zinazoigusa jamii moja kwa moja ambazo zimerahisishwa, kufafanuliwa vizuri na kuchambuliwa kwa namna ambayo hutoachwa na shaka wala hutoachwa bila kutoelewa... FIKRA TUNDUIZI PODCAST PATA MADINI ADHIMU YA KUJENGA JAMII ITAKAYOKUWA BORA.
Powered by
.